Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya kuoa mwanamke mwingine, Isabella adai ni yeye ndiye alimpiga chini...

Baada ya rapper wa kundi la Gangwe Mobb, Luteni Kalama kuoa mwanamke mwingine na kumwacha mchumba wake aliyemvisha pete, Isabella ameibuka na kudai kuwa ni yeye ndiye aliyemwacha baada ya kumuona ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waliotimuliwa UDOM Waibuka, Watishia Kuishitaki Serikali

Sakata Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limezidi kupanuka baada ya wanafunzi waliorudishwa nyumbani kupinga kuitwa vilaza.Jana wawakilishi wa wanafunzi hao ambao waliambatana na viongozi wa Mtandao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumapili ya June 5,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ali Kiba Akubali Kua ni Kweli Hajui Kingereza

Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kua lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama 13 nyuma hakua akiiongea kugha hiyo kwa ufasaha lakini baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

  CALL +255 658 194 194              BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..............................  60,000/=              BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/=...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera sana Elizabeth mungu aendelee kukung'arisha zaid ya hapo vipingamizi...

 Bi harusi mtarajiwa kulia akiingia na mpambe wakeBi harusi  MTARAJIWA Eizabeth na mume wake mtarajiwa usiku wako ulifana sanaaa Bi harusi mtarajiwa Elizabeth akitabasamu Mc Dr Cheni na bi harusi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Polisi Jijini Mwanza Wapambana na Majambazi kwa Saa 16, Wakamata Silaha...

Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi,wameuawa katika majibizano ya risasi na askari polisi mkoani Mwanza,alfajiri ya kuamkia jana jumapili katika mapango ya mlima wa Utemini yaliyopo kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ommy Dimpoz Nae atoboa Pua mwenyewe afunguka hivi

Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana sio tu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA Diamond Platnumz Akicheza Kigodoro Nyumbani Kwake,Usipime

 Kwa wakazi wa Dar na mikoa ya pwani mtakubaliana na mimi kua mziki aina ya kisingeli kwa sasa unakubalika sana. Kwa mfano ukikatiza  mitaa mingi ya Dar lazma utakuta sehemu au ndani ya bodaboda au...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo Ulikua huyafahamu Baada ya Taarifa za Chid Benz kuenea kuwa Ame toroka...

March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka  msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz  Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zari the bosslady Aamua Kumwaga Mboga..Kuwazima Wanao Sema Anavaa Vigodoro

Zari the bosslady ameamua kumwaga mboga, kutoboa sufuria na kuzima moto kwa vikurumbembe wanaomsema anavaa kigodoro kwa kupost picha inayoonesha "ze utamu" live.....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatatu ya June 6,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marekani yaipatia Tanzania dola milioni 800 kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...

Marekani itatoa dola milioni 800 kwa Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress aliyekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa ya Ofisi ya Spika kuthibitisha kupokea hoja ya kumuondoa madarakani...

Ofisi ya Spika imepokea taarifa ya kusudio la kuleta Bungeni Hoja ya kumwondoa madarakani Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) iliyowasilishwa na Mbunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yaondoa tozo ya uhakiki na Usajili wa Viwanda Vidogo Vidogo.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Prof Adolph Mkenda amesema kuwa serikali imeondoa tozo ya uhakiki wa viwango vya ubora na usajili katika kuanzisha viwanda vidogovidogo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba ya Zitto Kabwe katika uzinduzi wa “Operesheni Linda Demokrasia Nchini”.

Ndugu Wananchi, Nawashukuru sana kwa kujitokeza kwenu kuitikia wito wetu wa kuja kutusikiliza. Tumewaita hapa ili kuwaeleza kinachoendelea katika nchi yetu hivi sasa na madhara makubwa yanayoweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii Diamond Atoa Msaada Wa Madawati 600 Kwa Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akimpongeza Mkurugenzi wa WCB, msanii Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' mara baada ya kumtembelea ofisini kwake na kutoa mchango wake wa madawati yapatayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyewaua wanawake 10 Marekani Ahukumiwa kunyongwa

 Lonnie David Franklin Junior alipatikana na hatia mwezi uliopita Jopo la waamuzi mjini Los Angeles, limeamua kuwa mshukiwa mmoja ambaye alipatikana na hatia ya mauaji, anayefahamika kama 'Grim...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

A.K.A wa South Africa kapata dili la kuperform main Stage ya BET

Tuzo za BET ni tuzo kubwa za muziki kutoka Marekani na zenye heshima kubwa duniani, ambapo mwaka huu zitafanyika June 26 2016 Los Angeles Marekani. Kama kawaida wasanii wataperform ila good news ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumanne ya June 7,2016

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live