Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Mambo Ulikua huyafahamu Baada ya Taarifa za Chid Benz kuenea kuwa Ame toroka Sober House

$
0
0
March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka  msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz  Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa kulevywa na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.
Headline za kutoroka kwa msanii huyo kwenye nyumba hiyo ya kuhudumia waathirika wa dawa za kulevya zilianza baada ya watu kumuona msanii huyo akiwa mtaani June 5 2016 Mkuu wa Kituu hicho cha Sober House ameelezea ukweli wa msanii Chid Benz kwenye kituo hicho.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles