Wanawake Mbele ya Pesa, Mimba na Ukimwi ni Matokeo tu
Kama ulikuwa huwafamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chiziPesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapiUkiwa na pesa ya kutosha utaweza...
View ArticleWatumishi HEWA Waziponza Benki...Benki za Dar es Salaam Zalimwa Barua...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 21 kwa benki zilizokuwa zikitumika kuweka mishahara ya watumishi hewa, kurejesha fedha hizo serikalini ; au kubainisha waliokuwa wakitumia...
View ArticleJamaa Aliyejitosa Zoo Aliwe na Simba Laivu Alikuwa Anadai Mwisho wa Dunia...
Inasikitisha kwakweli, ameokolewa.... na simba walioanza kumla waliuwawa. aliingia kwenye jumba la simba akavua nguo na kuwadandia badae akachenjiwa...kwenye nguo zake kimekutwa kikaratasi-suicide...
View ArticleTuhuma za Ubadhirifu wa Sh bilioni 1.4 za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka jana...
TUHUMA za ubadhirifu wa Sh bilioni 1.4 za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka jana, zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma, zimefikishwa kwa Taasisi ya...
View ArticleCCM: Hatutamuadhibu Kitwanga Mara Mbili
CCM imesema kitendo cha Rais John Magufuli kumvua uwaziri Charles Kitwanga kutokana na kuingia bungeni akiwa amelewa, kimedhihirisha kuwa bado kuna baadhi ya watumishi wanaokiuka maadili ya utumishi wa...
View ArticleMAWAZIRI NA WABUNGE WAMIMINIKA KUMPA POLE KITWANGA
Wabunge mjini Dodoma wamiminika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga ,mawaziri na wabunge wamechukua hatua ya BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleNaibu Waziri Ajibu swali Lililomponza Kitwanga.....Asema Serikali Imekusudia...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yusufu amejibu upya swali lililomponza bosi wake wa zamani, Charles Kitwanga.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRich Mavoko ashoot video akiwa na Diamond SA, kutambulishwa WCB ‘soon’
Diamond Platnumz alimpeleka Rich Mavoko kwenda kushoot video ya wimbo wake mpya na wa kwanza akiwa chini ya Wasafi Records, imebainika.Mavoko anadaiwa kuwa ameshasaini kuwa chini ya record label hiyo...
View ArticleBifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani.Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA
Mbunge wa CCM, Mhe. Mary Mwanjelwa akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao ndani ya Bunge hilo leo 23 Mei, 2016 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Bunge Mhe Najma Murtaza Giga akiwasili...
View ArticleHII NDIO ILIYOKUWA SHOW YA MWISHO YA MUZIKI KUPIGWA NA LWAMBO LUANZO MAKIADI...
On Friday, September 22nd, 1989, Franco Lwambo Makiadi gave his final performance in De Melkweg (The Milky Way) in Amsterdam. This will be twenty years ago next week. BONYEZA HAPA KUONA
View ArticleMAJINA YA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA WANAOTAKIWA KUJIUNGA JKT.. NIMEKUWEKEA...
Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2016 Tafadhali bonyeza Hapa
View ArticleAlikiba Awaomba Watanzania Wampigie Kura Diamond Platnumz BET Awards
Alikiba alisema haya kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusisitiza kuwa yeye kusaini mkataba na kampuni ya ‘Sony Music’ jambo kubwa sana katika maisha yake ya muziki.“Kiukweli toka...
View ArticleMh. Zitto Kabwe amvisha pete mchumba wake
Mwanasiasa Zitto Kabwe Ameamua kuacha ukapela, kwenye picha akionekana kumvisha pete ya ya uchumba mchumba wake anayetarajia kumuoa
View ArticleKilichojiri Magazeti ya leo Tanzania Jumanne 24 mei 2016
BONYEZA HAPA KUSOMA KURASA NYINGINE
View ArticleLady Jaydee Haikufaa Uimbe Uliyoimba Ndani ya Wimbo wa Ndindindi
Nijikite Madani.Bila Shaka watu wengi humu tuna mkubali sana mwanamziki Huyu nguli wa miondoko ya r n b ndani ya bongofleva. Huyu Ni kati ya wasanii wakubwa waliofungua uhusiano mzuri wa kimziki baina...
View ArticleTibaijuka kitanzini Tena, Atuhumiwia Kujimilikisha Shamba la Hekari 4,000
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka na Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dk Charles Mlingwa wamelipuliwa bungeni wakidaiwa kutumia madaraka yao vibaya.Tuhuma hizo zilitolewa jana na wabunge wa...
View ArticleMwanaume Mkenya Aolewa na Mwanaume Mwenzake huko Marekani
KATIKA matukio ambayo wanaume wa Kenya wanaoana na wanaume wenzao katika nchi zinazoruhusu jambo hilo, mwanamme mmoja wa Nakuru, Kenya, amefunga ndoa na profesa wa hisabati wa Marekani.BONYEZA HAPA...
View ArticleMadiwani wa Misungwi Watoa Tamko Zito Kuhusu Kutumbuliwa kwa Mbunge Wao...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.UTANGULIZINdugu Waandishi wa habari, Karibuni kwenye mkutano huu mfupi ambao lengo lake ni kutoa taarifa yetu fupi kuhusu ukweli uliojificha kuhusu kitendo kilichopelekea...
View ArticleBLOG HII INADHAMINIWA NA DR MNINDO +255 717 344 281 NI MTAALAMU BINGWA WA...
LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINIWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBEPIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...
View Article