Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Madiwani wa Misungwi Watoa Tamko Zito Kuhusu Kutumbuliwa kwa Mbunge Wao Charles Kitwanga.....Wanataka Bunge Limuombe Radhi

$
0
0

http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/05/vlcsnap-2016-05-20-22h37m05s93.png?resize=660%2C400

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.​

UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa habari, Karibuni kwenye mkutano huu mfupi ambao lengo lake ni kutoa taarifa yetu fupi kuhusu ukweli uliojificha kuhusu kitendo kilichopelekea Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles