Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

KANYE WEST ASHINDA TUZO KIATU CHA MWAKA 2015

$
0
0


kanye-west
Kanye West ameshinda tuzo ya kiatu cha mwaka 2015 ‘Shoe of the Year’ kupitia kiatu chake cha adidas Yeezy Boost 350 kwenye tuzo za Footwear News 29th Annual Achievement Awards.

“Nasubiri mtoto wangu wa kiume azaliwe ziku yoyote sasa,namuangalia mtoto wangu wa kike na mama yake alivyokuwa tajiri, na mimi sina mpango wakuishiwa kabisa .”
Kanye West amekuwa akiwekeza pesa nyingi kwenye ubunifu na utengenezwaji wa mavazi tofauti duniani.
 black-yeezy-boost-release-date

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles