
Mbali na Alikiba wasanii wengine waliokuwa wanawania tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz, Mr Flavour, Davido, na wasanii wengineKwa upande wa Alikiba amewashukuru mashabiki zake kwa kuweza kumpigia kura na kumfanya aweze kushinda tuzo hizo mbili. "Asanteni sana fans blood wote tuliopiga kura usiku na mchana tuendelee na kupiga kura @afrimma" Alikiba