Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

BOT YAPANGA KUONDOA NOTI ZOTE ZA MIA TANO NDANI YA MIEZI 4 IJAYO

$
0
0

Benki kuu ya Tanzania (BoT)imepanga kuondoa noti zote za shilingi mia tano ndani ya miezi minne ijayo kutokana na uchakavu.

Mkurugenzi wa kurugenzi ya usimamizi wa mabenki Martian Kobelo amesema sarafu za shilingi mia tano zimeshasambazwa kuziba pengo la noti na wananchi wanapaswa kupeleka noti ili zoezi liende kwa haraka.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles