$ 0 0 Diamond ameamua kuwaonesha mashabiki wake madolari aliyoyachuma Dubai wiki hii. Ni mengi!!Staa huyo amepost burungutu sitazilizoshiba za dola mia mia zikiwa juu ya gitaa.