Watuhumiwa watatu wa kesi za ujangili pamoja na mauaji wametoroka mahabusu katika kituo cha polisi wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, mara baada ya kutolewa mahakamani kusikiliza kesi zinazowakabili.
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI