Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Breaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni lasitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa

$
0
0

DSC_5240
Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya Ardhi
Habarika Blog team
Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni limesitishwa mpaka kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama kuu ya ardhi.
Jaji wa mahakama kuu ya ardhi amemtaka wakili wa walalamikaji kuwasilisha mapema orodha ya walalamikaji wote 674 na majina yao kamili,anuani za makazi na nyumba zao na kisha shauli hilo litafikishwa Jumatatu, 11 January kwa ajili ya kupangiwa tarehe ya shauli lao.
Baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo ya kusimamisha zoezi la uvunjaji wa nyumba katika mabonde hayo wakazi wa mabondeni wameonekana kuwa wenye furaha na kushangilia kusimamishwa kwa zoezi hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Latest Images

Trending Articles