Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya KENYA Jumamosi ya Leo Februari 27, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya TANZANIA Jumamosi Ya Leo Februari 27,2016

==

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majambazi Dar es Salaam Yavamia Benki Ya Access....Yaua Mlinzi na Kupora...

Majambazi  ambao  idadi  yao  haikufahamika  wakiwa  na  mabomu  na  bunduki  za  kisasa  jana  walivamia  Benki  ya  Access  tawi  la Mbagala  ambako  walipora  viroba vya   fedha, kuua  mlinzi  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Ulikuwa Unafikiri Mr Nice Kafulia Basi Umechemsha..Adai Bado ana Hela...

Msanii mkongwe na mwanzilishi ya style ya TAKEU, Mr Nice amefunguka kwa kusema kuwa bado yupo vizuri kiuchumi tofauti na watu wanavyodhani kwamba amefilisika.Akizungumza na Bongo5 Alhamisi hii, Mr Nice...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nay wa Mitego Avunjiwa Kioo Cha Gari yake..Alikuwa Anaenda Kutambulisha Video...

Rapper Nay wa Mitego amekutwa na misukosuko ya kuvunjiwa kioo cha gari lake na watu wasiofahamika wakati anaenda kutambulisha video yake mpya ya shika adabu yako kwenye kipindi cha FNL cha EATV.Kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Jamaa Auawa Baada ya Mpenzi Wake Kumwita Mwizi Chuo cha SAUT...

Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT Mwanza ambapo Jamaa wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,Ukweli ni kwamba huyo jamaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utani Wageuka Kuwa Deal....Kampuni za Maji zajipanga Kuwekeza kwa Ray Kigosi...

Staa wa filamu Vicent Kigosi ‘Ray’ baada ya kudai kuwa weupe wake unatokana na kunywa maji mengi na kufanya mazoezi na siyo mkorogo, makampuni manne yanayojishughulisha na masuala ya maji yamemtaka awe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamanda Kova Ambwaga Tena Nzowa Mahakamani

Mahakama ya Rufaa Tanzania, imetupilia mbali kesi ya kugombea nyumba namba 140 iliyopo eneo la Sekei Arusha baina ya makamishna wawili wa Jeshi la Polisi, Godfrey Nzowa, ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vurugu Kubwa Zaibuka Wakati wa Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

VURUGU kubwa zimetokea wakati wa Uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam mara baada ya uchaguzi huo kuhairishwa  tena kwa mara ya nne leo,huku Jeshi la Polisi likivamia ukumbi wa Karimjee na kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: Mmiliki wa Mabasi ya Ngorika, Stephen Mberesero Afariki...

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Ngorika Bus service, yenye makao yake makuu Kisangara mkoani Kilimanjaro, bw. STEPHEN Mberesero amefariki dunia mjini hapa baada ya kugongwa na gari aina ya Land cruiser...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Rich Mavoko Kukana Kutoka Kimapenzi na Gigy Money, Gigy Aanika Chat zao

Baada ya video queen Gigy Money kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Rich Mavoko na baadae staa huyo wa wimbo ‘Pacha Wangu’ kukanusha, Gigy Money aweka wazi chati zao za WhatsApp.Gigy Money, alipost...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jack Wolper na Dk. Fadhili Siri Yao Yavuja..Mkongo Afunguka

Siri imevuja! Daktari wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dar, Dk. Fadhili Emily amedaiwa kumponza mwigizaji Jacqueline Wolper kwa mpenzi wake wa sasa, Mkongo baada ya picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vichwa vya Habari Magazeti ya Uingereza Jumapili Ya Leo February 28, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yaliyomo Magazeti Ya Kenya Jumapili ya Leo Februari 28,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vichwa vya Habari Magazeti Ya Tanzania Jumapili Ya Leo Februari 28,2016

==

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti Ya Polisi Kuhusu Tukio la Ujambazi Mbagala: Waliofariki Dunia ni Watu...

Ujambazi wa kutumia vifaa vya kivita umeibuka jijini Dar es Salaam, ukiwemo uliofanyika katika uporaji wa Benki ya Access juzi, ambako majambazi walitumia bunduki za kivita aina ya SMG na mabomu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wapendanao Jokate na Ali Kiba Wazichapa Kavu Kavu Kwenye Gari Kisa Ujumbe...

Wapendanao, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Kiba ‘King Kiba’, wamedaiwa kuzichapa kavukavu ndani ya gari kisa kikiwa ni ujumbe mfupi wa maneno (SMS), Risasi Jumamosi lina ubuyu kamili.Kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri ya Shule 10 Bora Tanzania Matokeo ya Kidato Cha Nne Hadharani

“Usione vyaelea vimeundwa”, huo ni msemo wa wahenga ukimaanisha kila mafanikio yana maandalizi.Msemo huo unaendana na kilichotokea katika matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live