CCM Washikana 'Uchawi' Baada ya Kulipoteza Jimbo La Bunda
BAADHI ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Bunda wamemtuhumu mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa, Chacha Gimanwa, kwamba alichangia jimbo la Bunda Mjini kuchukuliwa na mgombea wa Chama...
View ArticleWatu Sita Wapoteza Maisha Katika Ajali ya Gari Morogoro
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari ndogo waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria mali ya kampuni ya Princess Muro, lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Tunduma,...
View ArticleHABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...
HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765...
View ArticleKARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO NA HABARIKA BLOG BEI ZETU NI NAFUU SANA
HABARIKA BLOG Audience: Readers of our blog 1,205,170DemographicsThe targeted audience is aged between 18 and AboveHabarika blog is read in 130+ countries, but the targeted audience are the residence...
View ArticleKidato cha Nne Kuanza Mtihani wa Taifa kesho
WATAHINIWA 448,358 wa shule na wa kujitegemea, wanatarajiwa kufanya mtihani wa kumaliza kidato cha nne, kuanzia kesho hadi Novemba 27 mwaka huu. Idadi hiyo ni ongezeko la watahiniwa 150,870...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)..................................... 45,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleASKARI AJIMALIZA KWA RISASI IRINGA
Askari mpelelezi wa kikosi cha kupambana na ujambazi wa kutumia silaha mkoani Iringa, Paschal Shila, anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi shingoni.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleLowassa: Awamu ya Pili ya Safari ya Kwenda Ikulu inakuja
Aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema awamu ya pili ya safari yake ya kuelekea Ikulu ndio kwanza imeanza na kuwataka watu wote wanaomuunga mkono kutokata...
View ArticleMagazeti Ya Leo Jumatatu Ya Novemba 2, Lipumba Kurudi CUF na Habari Zingine...
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Novemba 2
View ArticleMbongo Flava Cassim Mganga Amchana Babu Tale... Adai Hakuwa ‘Kiongozi Bora’...
Cassim MgangaCassim Mganga amezungumza kwa kwanza sababu ya kuondoka Tip Top Connection ambapo amemtuhumu Babu Tale kuwa hakuwa kiongozi mzuri kwake.Cassim alikiambia kipindi cha Mkasi kuwa...
View ArticleVifaru na Magari ya Maji ya Kuwasha Havitaleta Ufumbuzi Wa Mgogoro Zanzibar-CUF
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kuwa ufumbuzi wa mgogoro wa Zanzibar hauwezi kupatikana kwa kutumia nguvu au vitisho vya kuingiza vifaru na magari ya maji ya kuwasha, kama inavyotokea sasa; bali...
View ArticleMREMA Afunguka: Sijakata Tamaa, Nitaendelea Kuwania Nafasi Mbalimbali za Kisiasa
Mwenyekiti wa Taifa wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema, amesema hata kama vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimefanikiwa kumwangusha kwenye kinyang’anyiro cha ubunge...
View ArticleMMLIKI WA FM ACADEMIA, MARTIN KASYANJU AFARIKI DUNIA
TASNIA ya Muziki wa Dansi nchini, imepata pigo kufatia kifo cha mmiliki wa Bendi ya FM Academia “Wazee wa Ngwasuma”, Martin Kasyanju (Pichani) aliyefariki dunia jana. Msemaji wa FM Academia, Kelvin...
View ArticleHABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU...
HABARIKA BLOG INALETWA KWENU KWA UDHAMINI MKUBWA WA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765...
View ArticleIkulu Yakanusha Kikwete Kutopokea Simu Ya Maalim Seif Shariff Hamad
Wakati saa 48 zilizotolewa na mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad kutaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuendelea na mchakato wa majumuisho ya kura na...
View ArticleKARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO NA HABARIKA BLOG BEI ZETU NI NAFUU SANA
HABARIKA BLOG Audience: Readers of our blog 1,205,170DemographicsThe targeted audience is aged between 18 and AboveHabarika blog is read in 130+ countries, but the targeted audience are the residence...
View ArticleLipumba aibukia ofisi za CUF...Amtaka Rais Kikwete Akabidhi Zanzibar Kwa...
Hatimaye aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amejitokeza kwa mara ya kwanza kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Buguruni jijini Dar es Salaam na...
View ArticleDr. Magufuli Ashauriwa Kutofanya Uteuzi Wa Baraza la Mawaziri Kwa Kulipa...
RAIS Mteule wa awamu ya tano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli, ameshauriwa kuwa makini katika uundaji wa Baraza lake la Mawaziri kwa kuepuka masuala ya kujuana au kuteua...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROPOSAL FOR DONORS 10% .............................................250,000/=KUANDAA KATIBA YA NGO NA KIKUNDI..............................150,000/=BUSINESS PLAN...
View Article