Mwanamme Anayefanya Mapenzi na Wanaume Wenzie Auawa Kwa Kuchinjwa...Kabla ya...
Kiwiliwili cha bwana Sankari' kimepatikana kimetupwa mjini Instabul Mwanaume mmoja mpenzi wa jinsia moja raia wa Syria amechinjwa na kiwiliwili chake kutupwa mjini Instabul Uturuki.Kichwa chake...
View ArticleOmmy Dimpoz afungukuka kuhusu gharama alizotumia hadi kupiga picha na Rooney
Msanii Omy Dimpoz amefunguka kuhusu vacation yake ya Ibiza na kudai gharama za maisha kule ni juu sanaAkaongezea kile kisiwa alichoenda na kupiga picha na Wayne Rooney ku book meza kwa ajili ya lunch...
View ArticleOparesheni UKUTA Ya Chadema Yapigwa Marufuku Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameliagiza jeshi la polisi mkoa wa Dar es salaam kuhakikisha kwamba sheria zinafuatwa na kusiwepo kitu kinaitwa UKUTA ili wananchi waendelee na kazi zao kama...
View ArticleBasi la Kisbo laua watu 3 Morogoro
WATU watatu wamekufa papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa baada ya basi lenye namba za usajili T 402 CRY aina ya Scania mali ya Kampuni ya Kisbo – Safari kupinduka mkoani Morogoro. Basi hilo lilikuwa...
View ArticleTRA kuanza kukusanya kodi kwenye nyumba za kupanga
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuanza kutembelea nyumba hadi nyumba kuhakiki gharama za upangishaji ili kukokotoa na kukusanya kodi sahihi ambayo ilikuwa haifiki serikalini. Hivyo,...
View ArticleTundu Lissu Asomewa Mashitaka Matatu Mahakamani
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameshtakiwa kwa makosa matatu la kwanza kutoaa maneno ya uchochezi kwamba Agosti 2 katika Mahakama ya Kisutu kwa nia ya kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya Rais...
View ArticleHatimaye Tundu Lissu Aachiwa Kwa Dhamana Baada ya Mvutano Mkali wa Kisheria
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu alipewa dhamana saa tatu usiku wa kuamkia leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kukana mashitaka matatu ya uchochezi...
View ArticleHIRIZI YA MTOTO WA DIAMOND YAIBUA MAPYA TENA...ETI YAMPA NGUVU ZA ZIADA
Mtoto wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tiffah Dangote Agosti 3, mwaka huu ametimiza mwaka mmoja lakini jipya lililoibuka ni kuhusiana na dawa ‘hirizi’ aliyovalishwa mkononi na bibi yake...
View ArticleAjali za Pikipiki Janga..Hospitali ya Moi Kupokea Majeruhi 40 Kila Siku wa...
Meneja Uhusiano na Ustawi wa Jamii wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI), Jumaa Almasi amesema kwa siku wanapokea wagonjwa 40 wengi wao wakiwa majeruhi wa ajali za bodaboda.Kauli...
View ArticleBinti wa Rais Obama afanya kazi mgahawani
Sasha Obama, binti wa Rais wa Marekani Barack Obama ameingia kwenye headline baada ya baadhi ya picha zake kusambaa mitandaoni zikimuonesha akiwa kwenye mgahawa mmoja amevalia sare ya hoteli akifanya...
View ArticleKilichoandikwa na mashabiki wa Ex wa Zari, Ivan baada ya kum-wish Tiffah
Leo ni birthday ya mtoto wa Diamond, Tiffah ambapo ndugu, jamaa pamoja na marafiki katika mitandao ya kijamii wanaendelea kum-wish binti huyo.Mmoja kati ya watu ambao wamem-wish binti huyo ni Ex wa...
View ArticleWema Sepetu atoa ujumbe huu wa birthday kwa bintiye Diamond, Tiffah
Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamosi hii kumwandikia ujumbe mzuri bintiye Diamond, Tiffah katika...
View ArticleNuh Mziwanda asema jina la wimbo ‘Jike Shupa’ ni wazo la AliKiba
Mkali wa wimbo ‘Jike Shupa’ Nuh Mziwanda amefunguka kwa kusema kuwa wazo la jina la wimbo huo alikuja nalo AliKiba.Muimbaji huyo ambaye alikiri wimbo huo kumwimbia aliyekuwa mpenzi wake wa zamani...
View ArticlePolisi Bado Wanamsaka Dk Mwaka
Kamishina msaidizi wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Salum Hamdan amesema bado wanamtafuta mmiliki wa kampuni ya Foreplan Juma Mwaka kama walivyoagizwa na Naibu Waziri wa Afya.Alisema vijana wake...
View ArticleAdmin Ushauri:Barmedi Kanipenda, Kutokana na Kazi yake Naona Aibu Kuwa...
Kama kichwa cha habari kinenavyo. Mimi nimekuwa victim wa uhalisia huu.Nilikutana kwa Mara ya kwanza na dada huyu mwanzoni mwa mwaka huu. Katika bar moja iliyopo karibu na maeneo ya nyumbani kwangu....
View ArticleMwenyekiti Atuhumiwa Kumpa Mimba Mwanafunzi
POLISI mkoani Mwanza inamshikilia Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Sangabuye, Kata ya Igombe katika Manispaa ya Ilemela, John Mayala (38) akituhumiwa kumtorosha na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato...
View ArticleNimeolewa ila Mume Wangu ni Kama Mke Wangu...Namlisha, Namvika, Namfanyia...
Nimeolewa ila mume wangu ni kama mke wangu. Namlisha, namvika, namfanyia kila kitu na nisipofanya hivyo ananitukana kweli. Anafanya kazi anapata hela ila akipata hela anapeleka zote Bar, hana muda hata...
View ArticleNay wa Mitego: Siwezi kurudiana na Siwema, Skiner wala Shamsa
Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nay wa Mitego amesema hana ndoto za kurudiana na mwanamke yeyote kati ya aliwaowahi kuwa nao katika uhusiano wa mapenzi.Nay alisema iwapo itatokea nafasi kwa yeye...
View Article