Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Juma Nature Adai Mshindani Wake Kwenye Muziki kwa Sasa ni Diamond

Msanii mkongwe wa muziki, Juma Nature amedai msanii pekee ambaye anaweza akashindana naye kwa sasa ni Diamond.natureAkizungumza na tovuti ya Times Fm, Juma Nature ameomba wadau kuandaa tamasha ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA AUAWA KWA KUCHOMA KISU BAA AKIGOMBEA MWANAMKE

Watu wawili wameuawa mkoani Shinyanga katika matukio mawili tofauti, likiwamo la kijana kuchomwa kisu akigombea mwanamke katika baa ya Matunu mjini Shinyanga.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 116.4 kutoka Japan.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati mbili za makubaliano na Serikali ya Japan itakayoiwezesha Tanzania kupata kiasi Yen Bilioni 6 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 116.4 za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Mambo ya nje, Balozi Mahiga Asema Serikali imesikitishwa na...

Serikali imeeleza kusikitishwa na uamuzi wa Marekani kusitisha uhusiano katika Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), bila kuishirikisha wala kuisikiliza. Kadhalika, imesema hakuna umuhimu wa misaada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond: Sina Tatizo na Msanii yoyote Hata Ukija Ofisini Kwangu Utakuta...

Diamond amesema hataki kuulizwa tena kama ana bifu na msanii mwingine, amedai hana tatizo na msanii yoyote na ndio maana hata ukienda ofisini kwake utakuta ameweka picha za wasanii wote  hata ambao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Binti Mrembo Ajinyonga Kwa Kamba Hadi Kufa..Aacha Ujumbe Mzito..Usome Hapa

Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge akiacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI...

LEWIS MBONDE BLOG INADHAMINWA NA DR MNINDO NI MTAALAMU BINGWA WA TIBA ASILI NA MBADALA.ANAPATIKANA MOROGORO,MTAA WA MAFISA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE PIGA +255 717 344 281+255 765 732 242+255 784 732...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongereni Sana Mr & Mrs Mrisho Harambee Usiku wenu Ulimetameta Sana Mirado Hall

 Maharusi katika picha ya pamoja na Mc Wa harusi yao Mc Dr Cheni katika ukumbi wa Mirado Hall Sinza Dar es Salaam,TanzaniaBONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ali Kiba na Gigy Money Mahaba Motomoto..Team Kiba Wapanick

Story ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba kuongelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi ya March 31,2016 Ikiwemo ya Nchi Inavyotafunwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHILOLE AJIITA MAMA KIJACHO BAADA YA KUPOST UJUMBE HUU HUKO INSTAGRAM

Bongo Fleva super staa Shishi baby Shilole amejiita ‘Mama Kijacho’ neno ambalo moja kwa moja limetafsiriwa kama Shilole anaujauzito.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Sugu Awachana Wasanii Kufanya Show Ulaya....Adai Sio Kigezo Kwa Music...

Kwenye stori tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Sugu amesema huwezi kutumia kigezo cha wasanii kufanya show nje ya Afrika yaani Ulaya, America na kwengineko kama kigezo kuwa game imekua, kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi Waanza Kugombania Kiti Alichokikalia Rais Magufuli Kwenye Mgahawa...

Mgahawa aliotumia Rais John Magufuli kupata mlo wa mchana na msafara wake juzi kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza, umekuwa kivutio kwa wateja wengi wakinunua chakula na kutaka kukalia kiti na meza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking News: Wabunge Watatu Wafikishwa Mahakamani Kwa Tuhuma za Rushwa

Pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa**Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Boss wa Clouds FM Ruge Akanusha Gerald Hando na PJ Kuacha Kazi...

MKURUGENZI wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba,  leo kupitia kipindi cha Power Breakfast‬ amekanusha uvumi wa watangazaji wa kituo hicho, Gerald Hando, Abel Onesmo na PJ,  kuacha kazi.“Kwa nafasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waongozaji Video wa nje Wanavyozidi Kuingiza Pesa Kutoka Bongo..Wakina Adamu...

Muziki wa Tanzania kwa sasa umefanikiwa kuchukua nafasi kubwa Afrika na tayari umeanza kupenya kwenye nchi nyingine duniani.Wasanii wengi wenye menejimenti nzuri yenye uwezo wa kifedha wanaonekana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA MCC,SASA NCHI 10 KATI 14 ZA UMOJA WA ULAYA ZATANGAZA KUSITISHA...

Nchi 10 kati ya 14 za umoja wa Ulaya zimetangaza kusitisha ufadhili wao kwa bajeti ya serikali ya Tanzania.   BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Yatoa Tamko Baada ya Wabunge Wake Kufikishwa Mahakamani Leo Kwa Tuhuma za...

Kwa kipindi cha hivi karibunin kumekuwepo na tuhuma za baadhi ya wabunge kujihusisha na masuala ya rushwa.Tuhuma hizo zimekuwa zikifanyiwa kazi na vyombo vya dola na kwamba tayari baadhi ya wabunge...

View Article
Browsing all 7853 articles
Browse latest View live