SentesI 10 Alizozisema Dr Slaa Usiku wa Jana kwenye Mahojiano Maalum Star TV
"Sina account Twitter, ila ninayo JamiiForums na Facebook ambazo ziko active"."Watu walitumia picha yangu ya mkutano Mwanza na kusema Dr Slaa amerudi Ofisini"."Watu wanatumia Picha zangu za zamani...
View ArticleMke Mdogo wa Dr. Slaa Naye Ajibu Mapigo......Asema Mumewe ameachana na Siasa...
Hatimaye mke mdogo wa Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ameibuka na kujibu baadhi ya hoja ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake yeye binafsi na kwa mume wake na zaidi akisema yote yanayosemwa...
View ArticleDK. Slaa Awavaa Maaskofu Waliojitokeza Kumjibu Kuhusu Kuhongwa Na Lowassa
Aliyekuwa Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa amedai kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya maaskofu kujitokeza kujibu hoja yake juu ya maaskofu kuhongwa bila...
View ArticleKubenea Kumvaa Dr. Slaa......Asema Ataanika Maovu yake Yote Watanzania Wajue
Katika taarifa yake kwa Mwanahalisi Online, Saed Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd (HHPL) wachapishaji gazeti la MwanaHALISI, (ambaye amechimba kwa undani sakata la...
View ArticleDr. Slaa Aishambulia CHADEMA Kwa Mara ya Pili.......Asisitiza Kuwa Lowassa ni...
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Wilbrod Slaa amejitokeza hadharani kwa mara nyingine na kujibu watu waliojitokeza kuponda hotuba yake, aliyoitoa hivi karibuni...
View ArticleTAZAMA Mafuriko ya LOWASSA Yalivyoiteka Tabora
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Tabora, Septemba 5, 2015. Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa...
View Article‘UKOMEDI’ WAMSAIDIA KINGWENDU KUOMBA KURA JIMBO LA KISARAWE
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kisarawe kupitia Cuf, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ juzi alikuwa kivutio wakati akitambulishwa na mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri, Juma Duni Haji.Juma Duni Haji ni mgombea...
View ArticleLipumba Akana Kutumiwa na CCM Kuvuruga Upinzani
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema wanaodhani wanatumika CCM wamekosa mwelekeo kwani alikuwa kinara wa kuitaka itoke madarakani.Profesa Lipumba aliyekuwa...
View ArticleMagufuli: Nikiwa Rais Nitachukua Mashamba Yasiyotumika Mpekuzi blog
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameahidi kunyang’any’a mashamba ambayo yamehodhiwa na watu bila kutumiwa kwa ufugaji wala kilimo, na kuyagawa kwa wakulima na wafugaji wasio...
View ArticleWAKINA DADA WANAOJIONA WAZURI HII INAWAHUSU SANA..!! SOMA HAPA
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na...
View ArticleDAVIDO NA MASOGANGE NDANI YA PENZI ZITO,WABAMBWA LIVE
Staa wa muziki nchini Nigeria ‘Naija’, David Adedeji Adeleke ‘Davido’.Mwandishi wetuPENZI ni kikohozi, kulificha huwezi! Habari ya mjini kwa sasa ni mahaba niue ya muuza nyago kwenye nyimbo za...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR BOOKING MC DR CHENI,I T & BUSINESS CONSULTANCY...
CALL NOW +255 658 194 194 FOR BOOKING MC DR CHENI, I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE AND OFFLINE SOLUTIONBLOG DESIGNING (KUTENGENEZEWA BLOG YA KISASA).....60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA...
View ArticleSOMA HAPA UJUMBE MZITO ALIOANDIKA ZARI AKIWA KAMKUMBATIA MWANAE LEO
She quoted "Every breathe we take is a gift from God. Thank you for letting us make one month today. May we be blessed with many more months and years Amen! Blessed sunday to all" BONYEZA HAPA KUONA...
View ArticleWANENGUAJI WAWILI WAFUNGWA JELA MISRI
Mnenguaji kiunoMahakama nchini Misri imewahukumu wanenguaji viuno wawili kufungwa jela miezi sita kila mmoja kwa kuchochea uasherati.Suha Mohammed Ali na Dalia Kamal Youssef, wanaojulikana kama Shakira...
View ArticleTAZAMA MAFURIKO YA MAGUFURI MKOANI MOROGORO HII LEO JAMHURI STADIUM
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleFlavor ft P-Square - Sexy Rosey(Officia Video)
Flavor is out with new video Sexy Rosey featuring in P-Square.........
View Article