Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

KASI YA RAIS MAGUFULI YAZIDI KUWAWEKA WATENDAJI WA SERIKALI ROHO JUU,WENGI SASA WANACHAPA KAZI MPAKA USIKU WA MANANE

$
0
0


Katika kile kinachoonekana ni kutaka kwenda na kasi ya rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Rada kata ya Majohe, Jimbo la Ukonga, Abdallah Goma, amewatimua ofisini wajumbe watano wa mtaa na kuwataka waende mitaani kukusanya kero zinazowakabili  wananchi.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles