$ 0 0 Rais Magufuli Wiki Tatu zilizopita alipokwenda kutembelea Hospitali ya Muhimbili alikuta wagonjwa wapo chini kwenye sakafu.Wagonjwa wakiwa wamelala sakafuni kabla ya Rais Magufuli kutembelea Hospitali hiyo ya Muhimbili Wiki tatu zilizopita.Hii ndio Muhimbili mpya baada ya Magufuli kutoa vitanda na kuagiza mabadiliko haraka sana, kumbe inawezekana.