Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

MAGUFULI: SAFARI ZA MJE ZINGEJENGA KILOMETA 400

$
0
0

  Rais wa Tanzania Dk John Magufuli
Rais John Magufuli amesisitiza uamuzi wake wa kuzifuta safari za nje kwa watendaji wa Serikali akisema ni mzigo kwa Taifa.
Akizindua Bunge la Kumi na Moja jana, Rais Magufuli alisema kuanzia mwaka 2013 hadi 2015, safari hizo zimeigharimu Serikali Sh356.3bilioni. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles