Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTOTANGAZA MATOKEO BILA IDHINI YA NEC

$
0
0
 
Na Mwandishi Wetu, Habarika Blog
Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuhakikisha hawatangazi matokeo ya uchaguzi katika vituo mbalimbali vya kupigia Kura bila idhini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Aidha, wametakiwakutumianafasizaokuzuiamachafukokwakuandikahabarikwakufuatamiiko ya taalumanafani ya uandishi wa habarinakuwaondoahofuwananchi ya kuibukakwamachafukokupitiakalamuzao.HayoyameelezwanaMkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), AssahMwambenewakatiakizungumzanawaandishi wa vyombovyahabarimbalimbali.Alisemasikuzotewaandishi wa habariwanapotumiavibayakalamuzaokwakuandikahabari za uchochezindiohuwachanzo cha machafuko.
"Tunapaswa kupima kauli za wanasiasa kabla ya kuzichapisha au kutangaza, tuongozwe n amisingi ya utaifa katika kila jambo tunalofanya na pia kuwaelimisha wananchi kufuata sharia wakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo," alisema Mwambene.
Alisema viasharia vya uvunjifu wa amani ni pamoja na kauli za baadhi ya viongozi wa siasa, wanaharakati, baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kauli za baadhi ya watafiti, viongozi wa dini na watabiri.
Aliwatawaandishikutoegemeaupandewowote wa chama au mgombea, kutoataarifalinganifusambambanakuwasiliananavyanzosahihivyahabarikabla ya kutoahabarihizokwajamii.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles