Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Magufuli Awasha Moto Geita Atembelea Kaburi la Babu na Bibi yake

$
0
0
Zikiwa zimebaki siku chache wa Tanzania wapige kura ya kumchagua Raisi wa awamu ya Tano. Jana Dr. John Pombe Magufuli alikuwa na mkutano mkoani Geita (Nkome).

Pia Dr. John Pombe Magufuli alitembelea kaburi la bibi yake na babu yake katika kijiji cha Katoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles