Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853
↧

Wabunge Wampa Makavu Waziri Kitwanga Aliyetumbuliwa Jipu Kwa Ulevi..Soma kauli zao hapa

$
0
0


Siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga kutimuliwa nafasi hiyo kwa ulevi, wabunge na wasomi wameendelea kumbana zaidi wakisema hatua hiyo ya Rais imechelewa.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Latest Images

Trending Articles