Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Tazama Video jinsi Diamond,Vanessa na Ommy Dimpoz walivyopokelewa Tanzania baada ya kupata tuzo za AFRIMMA.

$
0
0
Tuzo za AFRIMMA ni tuzo ambazo zimeasisiwa na Mnigeria ambaye Marekani yamekua makazi yake kwa muda mrefu tu na tuzo hizi zimekua zikifanyika kwa mara nyingine tena ndani ya ardhi ya Obama na kuhusisha Mastaa mbalimbali wa nchi za Afrika wakiwemo Madj, Producers, video directors na hata Wasanii.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles