
October 14,1999 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliiaga dunia ambapo hii leo Watanzania wote wanaungana pamoja wakitafakari miaka 16 iliyopita na maendeleo tuliyonayo hivi sasa
Kwa kutambua umuhimu wa siku hii Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa amezima mwenge wa uhuru katika viwanja vya Jamuhuri mkoani Dodoma
Nimekuwekea pichaz zinaoonyesha matukio yaliyotokea uwanjani Dodoma