Bilionea wa visima vya mafuta amelalamika kutoswa mara kwa mara na warembo wakiamini ni player kwenye mapenzi,Watu wengi wamekuwa wakiamini ukiwa tajiri huwezi kutoswa la hasha kwake mambo yamemwendea
mrama.Wadada wamekuwa wakiamini ana mpenzi wake na wadada wakiogopa muonekano wake.Amekuwa akitamani kupata maapenzi ya kweli anakosa amesaliti amri fedha haiwezi kununua penzi la dhati.