Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

MREMBO AMBER ROSE AJIBU MASHAMBULIZI KUTOKA KWA KANYE WEST

$
0
0

kanye-vs-amber
Baada ya Kanye West kumtukana Wiz Khalifa na Amber Rose, Wiz aliamua kukaa kimya bila kujibu chochote ila Amber Rose hajakubali.

Kupitia account yake ya twitter Amber alimwandikia Kanye West “are u mad I’m not around to play in ur ahole anymore? FingersInTheBootyAssBitch
Twit nyingine iliyofata ni  “Now you wanna delete your tweets cuz Muva has arrived? TwitterFingersUrGettingBodiedByAStripperN***a
Kanye West alifanya kosa kumuongelea mtoto wa Wiz na Amber kwenye issue hii.


amber

Viewing all articles
Browse latest Browse all 7853

Trending Articles