Kikao cha Baraza kuu la uongozi la chama cha Wananchi CUF kilichoketi leo makao makuu ya Chama hicho Buguruni Dar es Salaam na kuhudhuliwa kwa Mwaliko Maalum na Prof. Lipumba na Juma Duni Hajji kimeazimia na kutoa msimamo kuwa chama hicho hakipo tayari kushiriki uchaguzi wa marudio kama ulivyotangazwa na ZEC
Baraza hilo la uongozi la CUF limesisitiza kuwa uchaguzi halali ulishafanyika na kumtaka Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Fransic Mutungi kuacha kuipendelea CCM na badala yake asimamie katiba na sheria za nchi.
==>Taarifa zaidi zinafuata. Endelea kutembelea Mpekuzi
Mpekuzi blog