$ 0 0 Mambo yakiwa magumu unahitajika kuwa mbunifu. Zifuatazo ni staili tofauti zinazotumika na wanaCCM kuomba kura tena kwa wananchi. Wanatia huruma sana. Staili hizi huwezi kuzikuta Ukawa. Cheka kidogo basi