SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha maduka ya dawa katika hospitali zake zisizokuwa nayo na kuweka maduka mapya ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), hatua itakayohakikisha dawa zinapatikana katika hospitali hizo.
Aidha, imesema ili kufanikisha hilo, inafanya mazungumzo na wamiliki binafsi wa maduka ya dawa yaliyo nje ya hospitali zote za serikali ili yahamishwe kuondoa mgongano wa kimaslahi baada ya kubaini maduka mengi niÂ