Quantcast
Channel: LEWIS MBONDE BLOG
Browsing index pages (7853 articles)

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Jumatatu ya May 28,2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shetta Afunguka Kilichomtenganisha na Diamond Platnumz

Msanii wa muziki Bongo, Shetta amefunguka kwanini kipindi hiki haonekani karibu na Diamond kama ilivyokuwa mwanzo.Shetta amesema kwa sasa kinachowatenganisha ni biashara tu na hakuna zaidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Yanga baada ya Ngoma kumalizana na Azam “tulimvumilia sana”

Baada ya Azam FC kutangaza imeingia makubaliano kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Yanga Donald Ngoma, uongozi wa Yanga umesema umeumizwa na kitendo hicho.“Tulikuwa tunajua Ngoma anaumwa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI

Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano tanzania (TCRA), Blogu ya LEWIS MBONDE BLOG...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe asimulia maneno ya mwisho ya marehemu Bilago

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ameeleza maneno ya mwisho aliyoambiwa na marehemu Kasuku Bilago aliyekuwa Mbunge wa Buyungu mkoani Kigoma, ambapo alimwambia anahitaji msaada wa haraka wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Wabunge wakisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Mh. Bilago.

Baadhi ya Wabunge wakisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Kasuku Bilago.Awali mapema leo Naibu Spika, Tulia Akson aliahirisha Bunge kutokana na Msiba huo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Helen Kijo-Bisimba Ang'atika LHRC....Bi. Anna Henga Achukua Mikoba Yake

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imemtangaza Bi. Anna Henga kuwa Mkurugenzi mpya wa kituo hicho ambapo atapokea mikoba ya Mkurugenzi wake wa muda mrefu, Dr. Helen Kijo-Bisimba.Uteuzi wa Bi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi Chuo cha SAUT Ajinyonga Baada ya Timu Yake ya Liverpol Kufungwa

Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo kikuu cha ‘St. Augustine’ kampasi ya Mbeya Moses Mashaka amejinyonga mara baadaya timu yake ya Liverpol kushindwa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtanzania Aibuka Kidedea Mashindano Ya Kuhifadhi Quran Afrika.....Waziri Mkuu...

KIJANA wa Kitanzania, Shujaa Suleiman Shujaa ameibuka kidedea na kitita cha sh. milioni 15 katika mashindano ya 19 ya Afrika ya kuhifadhi Quran kwenye kundi la washiriki wa juzuu 30.Shujaa mwenye miaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Hapa Ratiba ya mechi za Kombe la Dunia: Urusi 2018

 BOFYA HAPA KUONA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Inasikitisha:Mtu na Mpenzi wake Wamefariki Wakipiga Selfie Juu Ghorofa

Mtu na Mpenzi wake Raia wa Australia wamefariki baada ya kudondoka kutoka kwenye ukuta mrefu wa fukwe maarufu ya Ericeira nchini Ureno walipokuwa wakipiga Selfie.Taarifa zinasema kuwa Wapenzi hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Michuano ya Kombe la Dunia Kuanza Leo Urusi

Michuano ya Kombe la Dunia ya Fifa ya mwaka 2018 inaanza leo nchini Urusi ambapo Urusi watacheza dhidi ya Saudi Arabia baada ya kufanyika kwa sherehe ya ufunguzi katika uwanja wa Luzhniki, mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAKWATA yapiga marufuku kutangaza Eid

Baraza Kuu la waislam Tanzania (BAKWATA) limepiga marufuku utangazaji wa sherehe za Iddi na sherehe zozote zile za dini ya Kiislam bila kupata vibali vya baraza hilo ambalo ndio chombo kikuu cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) yawatumbua vigogo sita

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewafukuza kazi wakurugenzi wake sita kwa tuhuma mbalimbali zinazowakabili ikiwamo uzembe kazini.Akizungumza leo Juni 13, Mkurugenzi wa HESLB Abdul...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa Kwa Umma Kutoka Jeshi La Polisi Tanzania

====

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UDSM Yawalilia Wanafunzi Wake Waliofariki Katika Ajali

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIYE MREMBO ALIYEUTIKISA MTANDAO LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO KILICHOBAMBA LEO MTANDAONI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Tanzania Alhamisi ya June 14,2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali ya bodaboda yaua Familia

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia papo hapo katika ajali iliyohusisha pikipiki na basi mali ya kampuni ya Saratoga.Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa, George Kyando amesema tukio hilo limetokea...

View Article
Browsing index pages (7853 articles)


Latest Images